How to say you're vegan in Swahili
MIMI NI VEGAN
Vyakula vya Mimea tafadhali!
HAKUNA NYAMA
Hakuna mamalia, Ndege, samaki, wadudu, vyakula vya kusindikwa, mchuzi….
HAKUNA YAI
Hakuna ute, uwambo, kiini…
HAKUNA MAZIWA
Hakuna maziwa, jibini, mtindi, samli…
HAKUNA MAZAO YA WANYAMA
Hakuna asali, gelatin, mafuta ya nguruwe, damu, mifupa, mafuta…